Another Victory in Family Planning!

Another Victory in Family Planning! All LGAs to allocate Resources for Family Planning Introduction: Finally the Government of Tanzania has ordered all LGA to ensure they allocate funds for Family Planning in their budget beginning financial year 2015/16. This was reached in a joint meeting between MoH and FP stakeholders in Dodoma in May 2014.… Continue reading Another Victory in Family Planning!

Mahudhurio ya Wanaume kwenye Huduma za Afya ya Uzazi huboresha Afya ya Mama na Mtoto

Mahudhurio ya Wanaume kwenye Huduma za Afya ya Uzazi huboresha Afya ya Mama na Mtot Toleo Na. HDT/2014/001 Kuna jitihada nyingi za kumshirikisha mwanaume katika masuala ya afya ya uzazi zinayofanywa na serikali na mashirika binafsi ya kitaifa na kimataifa ikiwemo kupanga mikakati na sera zitakazoshawishi na kuvutia wanaume kufika katika hospitali na vituo vya… Continue reading Mahudhurio ya Wanaume kwenye Huduma za Afya ya Uzazi huboresha Afya ya Mama na Mtoto

Madai ya Imani ya Biblia na mapokeovyaathiri afya kwa wanawake:

Madai ya Imani ya Biblia na mapokeo vyaathiri afya kwa wanawake: KISA KUTOKA WILAYANI BUKOMBE A.P. (44) ni mkazi wa kijiji cha Nampalahala, kata ya Busonzo katika wilaya ya Bukombe. Akiwa katika maeneo ya vijijini, mama huyu ameolewa na Mchungaji wa Kipentekoste aitwaye F.J. (50). A.P. anaishi umbali wa kilometa 82 kutokea makao makuu ya… Continue reading Madai ya Imani ya Biblia na mapokeovyaathiri afya kwa wanawake: